Votre panier est actuellement vide !
Hauko peke yako
Référence : g303sw
0,00 €
N° de comm.: g303sw
16 pages
Format : Brochure agraphée, 130x190mm
Publié en : Mars 2023
Click here to download - Cliquez ici pour télécharger / consulter en ligne
Descriptif
Madondoo ya brosha :
« Nguvu, upendo na hekima ya ulimwenguni pote ya Mungu inaunda sumaku kubwa yenye mvuto ambao unahitaji kuvuta kwake, kila mmoja wetu. Tukikubali kuvutwa, mvuto huo utaimarisha mawasiliano na utu wetu wa ndani ambamo mna nguvu asilia, uwezo wa uwepo wetu wa milele unaongoja kuwekwa huru. Hayo yanajidokeza ndani mwetu kama hisia, aina ya majonzi, nuru kubwa inayotuinua na kutujaza.
Kwa hiyo, ni wajibu wetu kupiga hatua ya kwanza kwenda kulaki nuru ya Mungu inayotungoja hadi muda tutakapoamua kugeukia ndani mwetu na kujielekeza daima upande wa chemchemi ya milele, yaani Mungu. Vipi? Kwa kufanya mazoezi ya kujikataa sisi wenyewe na kuingia katika mazingatio makubwa ndani mwetu, kuzama katika ukimya wa ndani na maombi. Kuomba kunamaanisha kujitahidi kuwasiliana na Mungu, na Kristo ndani mwako wewe mwenyewe.
Bofya hapa ili kupakua / kutazama brosha ya bure mtandaoni –
Click here to download – Cliquez ici pour télécharger / consulter la brochure gratuite en ligne