Des livres spirituels pour apprendre et acquérir des valeurs éthiques universelles

S'abonner

Newsletter

Se connecter

Mon compte

Panier

Mnaishi milele. Hakuna mauti

Sehemu za kitabu

0,00 

Brochure en swahili sur la vie après la mort : Mnaishi milele. Hakuna mauti
disponible, délai de livraison 3 à 8 jours ouvrés **

Descriptif

Brochure en swahili sur la vie après la mort

Mnaishi milele.
Hakuna mauti

Sehemu za kitabu

Kwa nini watu wengi wana woga wa jambo linaloitwa kifo?
Kwa nini watu wana hofu mwingi, woga na kukosa ukubali wa jambo linaloambatana na maisha yetu ya kibinadamu?

Dhana ya watu kuhusu kifo inayowatia hofu, wasiwasi au tena kukata tamaa ni dhana potovu na bila uhalisia, ni alama ya upuuzi na kukataa kuelewa kwao, yaani ni madhara ya uhusiano wao na maisha potovu. Sababu za woga huo ni zipi?

Brochure en swahili sur la vie après la mort : Mnaishi milele. Hakuna mauti
Mnaishi milele. Hakuna mauti
0,00