Des livres spirituels pour apprendre et acquérir des valeurs éthiques universelles

S'abonner

Newsletter

Se connecter

Mon compte

Panier

Maisha niliyochagua mimi mwenyewe

Référence : s345sw

8,90 

comprend 5,5% TVA réduite
disponible, délai de livraison 3 à 8 jours ouvrés **

Descriptif

Maisha niliyochagua mimi mwenyewe

Mada ya kitabu hiki inamaanisha nini ? Maisha ni nini kwa kweli? Kwa nini kila mtu ana maisha isiyo na kifani ? Je , kwa kweli, bahati ipo ? Sababu gani nilizaliwa katika familia hii bali si katika nyingine yote ile ? Kwa nini ninakutana tu na aina fulani ya watu ? Je ninakabiliwa na majaliwa yangu ? Ni nani aliyepangilia tangu awali matukio ya maisha yangu ? Ni vipi ninaweza kubadili mpangilio huo ?

Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu anatoa maelezo kitabuni humu kwamba uzima ni zaidi ya yale tunayohisi kwa jumla. Anatusaidia kuelewa kwa kina matukio ya maisha yetu na anatufundisha jinsi ya kubadili mwelekeo wao.

Vipengele vya mambo yaliyomo :

  • Mungu ni uzima usio na mwisho na wa milele ambamo ulimwengu ulitokea.
  • Uajibikaji wa mwanadamu kuhusu mwenendo, maadili yake, mwelekeo wa maisha yake , kuhusu madhara makali inayompata na tena kuhusu nafsi yake katika makao ya nafsi.
  • Kanuni ya sababu
  • Kuelewa na kuchanganua maelekezo itolewayo na nguvu za mchana
  • Faidika na siku zako.

 

Maisha niliyochagua mimi mwenyewe
8,90