Votre panier est actuellement vide !
Mbweha-Mjanja
École Liobani

ISBN: 978-3-96446-532-0
N° de comm.: S618SW
Nombre de pages : 22 pages - Poids net : 50 gr
1ère Édition : Mars 2024
Format : petit livret, avec des illustrations en couleur, couverture souple
Dimensions : 140 mm x 140 mm
Descriptif
Roho mwema wa msituni anatuhadithia kisa cha mbweha aliyeenda mbali kidogo na hifadhi yake na kujikuta amefungwa kwenye ghala la shambani.
Lakini «Roho mwema wa msituni» hata kama hawaonekani wapo, daima tayari kusaidia, na hatua yao ya uokoaji ni ya ajabu sana!
Liobani ni malaika kutoka Mbinguni, kiumbe cha kiroho kinachotutolea msaada mkubwa sana maishani mwetu duniani. Hata tuwe wadogo au wakubwa, moyo wetu hujaa furaha tunaposikia maelezo na hadithi zinazotufunulia mambo yanayotendeka katika ulimwengu unaoonekana na hasa zaidi katika ulimwengu usiyoonekana kwa macho yetu.
Vijitabu vidogo hivi (14×14 cm) ni vya muhimu sana kwa watoto na wazazi kwani kila mtu hupata mafundisho ya kujenga na burudani katika usomi wake!
Hadithi hii ni dondoo ya kitabu « Liobani : ninatoa ushauri- unaukubali ? »