Yesu na wanyama
Référence : g311sw
0,00 €

N° de comm.: g311sw
16 pages
Format : Brochure agraphée 130x190mm
Publié en : mars 2023
Click here to download - Cliquez ici pour télécharger / consulter en ligne
Madondoo ya brosha :
« Hata kama mtu amenunua mnyama, mnyama huyo sio mali yake. Kama vile mwili wa kiroho yaani nafsi ndani ya mwanadamu, ni ya Uzima wa Milele kwa sababu ni Wamilele ndiye aliyeiumba. Kiumbe cha kiroho huishi na Wamilele katika Uzima wa Milele.
Mnyama pia naye aliumbwa na Roho wa uumbaji wa milele, na ni wa Uzima uliopo milele na milele: yaani Mungu.
Kile kisichyo na mwisho chote ni upendo unaohudumu, Uzima unaohudumu. Mwanadamu pia anaalikwa na Mimi, Kristo, kuwatumikia jirani zake bila ubinafsi.
Ni lazima tuelewe pia kwamba maneno «majirani zake» yanahusu pia majirani viumbe vingine vya mazingira, wanyama.
Kwani mnyana pia amepewa uwezo wa huduma usio na ubinafsi na anawasaidia kwa moyo mkunjufu watu wanaompenda. »
Click here to download – Cliquez ici pour télécharger / consulter la brochure gratuite en ligne
Vous aimerez peut-être aussi…
-
![eBook (PDF) - Yesu wa Nazareti alikuwa nani? [Digital]]()

eBook (PDF) – Yesu wa Nazareti alikuwa nani?
Sehemu: Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu…2,99 €
comprend 5,5% TVA réduite -


PDF – Mungu ndani mwetu
„Dhamira yangu ni kutetea Mungu, sijitetei mwenyewe wala pia sitetei shirika fulani…0,00 €
-

Hauko peke yako
Versions papier et PDF. Nguvu, upendo na hekima ya ulimwenguni pote ya Mungu inaunda sumaku kubwa…0,00 €
Frais d'expédition en sus -

Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu.
Versions papier et PDF. «Hili ni Neno Langu – A na Ω» ni kitabu kinachoeleza mawazo na kazi ya…0,00 €
Frais d'expédition en sus


![eBook (PDF) - Yesu wa Nazareti alikuwa nani? [Digital]](https://editions-gabriele.com/app/uploads/2022/01/SWA_Wer-war-Jesus-von-Nazareth_Cover-2D-300x429.jpg)



