«Kumpata Mungu!» a été ajouté à votre panier. Voir le panier
Jifunze kuomba
Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu. Sala halisi humfanya mtu awe mwenye raha

ISBN: 978-3-96446-225-1
N° de comm.: S174sw
54 pages
Livret agraphé, couverture souple
disponible, délai de livraison 3 à 8 jours ouvrés **
Jifunze kuomba
Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu.
Sala halisi humfanya mtu awe mwenye raha
Tunapata ujuzi wa Mungu katika sala ya ndani mwetu wenyewe.
Ila, sala halisi huhitaji mafunzo, kwa kuwa, sala halisi, tunayoifanya ndani mwetu wenyewe ni mazungumzo na Mungu.
Ni wakati tunapoomba kwa moyo wote, tukijifunza kuomba kwenye kituo cha nguvu ya Kristo wa Mungu na tunasikia kweli maombi yetu, ndipo tunajihisi kubebwa na nguvu iliyopo siku zote. Ikiwa tena tunatimiza maombi yetu maishani mwetu siku zote kwa kuyajaza na yale yaliyomo, ni kusema kwa kutimiza mapenzi ya Mungu, tunakaribia basi kituo
cha upendo ndani mwetu na tunashika njia ielekeayo kwa Mungu.
Vous aimerez peut-être aussi…
-

MUNGU anaponya
Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa inatenda kazi ndani ya kila mmoja wetu.8,90 €
comprend 5,5% TVA réduiteFrais d'expédition en sus -

Kumpata Mungu!
Maandishi ya Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu kwa wakati wetu0,00 €
Frais d'expédition en sus -

Usikate tamaa! Stahimili!
Zawadi ndogo kwako - Usikate tamaa! Stahimili!0,00 €
Frais d'expédition en sus -


Ndege Kigotagota
Kigotagota aliogopa na hakuweza tena kuruka! Ni nini kilichofanyika? Ni Nani walioweza kumsaidia?3,90 €
comprend 5,5% TVA réduiteFrais d'expédition en sus





