MUNGU anaponya

ISBN: 978-3-96446-377-7
N° de comm.: S309sw
112 pages
Couverture souple
disponible, délai de livraison 3 à 8 jours ouvrés **
Ni nani asiye na haja ya uponyaji ?
Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa inatenda kazi ndani ya kila mmoja wetu. Ni nguvu ya upendo, nguvu ya Mungu. Gabriele anatoa maelezo kitabuni humu kwamba afya na uponyaji vinategemea mpango wa msingi wa utu wetu wa ndani na kwamba hisia na fikra zetu vina ushawishi mkubwa juu ya hali yetu njema, ambayo tunaweza kuamsha ndani mwetu kwa kumgeukia Mungu, chemchem ya nguvu ndani mwetu.
Kwa kutumia maneno yenye kugusa moyo na inayojaa ujuzi, kitabu hiki kinatuelekeza jinsi ya kuamsha nguvu za kimungu ndani mwetu ili kutia nguvu nafsi na mwili wetu. Hayo haimzuii kamwe mtu kumwendea daktari wake.
Vous aimerez peut-être aussi…
-


PDF – Mungu ndani mwetu
„Dhamira yangu ni kutetea Mungu, sijitetei mwenyewe wala pia sitetei shirika fulani…0,00 €
-

Maisha ya raha hadi uzeeni
Versions papier et PDF. Brosha itolewayo bila malipo yenye mada kuu "Ujumbe wa ukweli" …0,00 €
Frais d'expédition en sus -
![eBook (PDF) - KITABU CHA MAFUNDISHO [Digital]]()

eBook (PDF) – KITABU CHA MAFUNDISHO
... Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu kwa wakati wetu huu, anotoa kitabuni humu maelekezo kwa ajili…2,99 €
comprend 5,5% TVA réduite -

Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia musa
Mungu, Wamilele, aliwatolea wanae wanadamu Amri Zake kutokana na upendo Wake na ambazo ni mashauri…4,00 €
comprend 5,5% TVA réduiteFrais d'expédition en sus





![eBook (PDF) - KITABU CHA MAFUNDISHO [Digital]](https://editions-gabriele.com/app/uploads/2023/08/S187SW_Le-manuel-d-enseignement_Cover-2D_600x600-300x429.jpg)
