Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu.
Référence : g326sw
0,00 €

N° de comm.: g326sw
35 pages
Format : Brochure agraphée, 130x190mm
Publié en : septembre 2022
Click here to download - Cliquez ici pour télécharger / consulter en ligne
Hili ni Neno Langu. A na Ω. Injili ya Yesu. Ufunuo wa Kristo unaojulikana na wakristo halisi wa dunia nzima
«Hili ni Neno Langu – A na Ω» ni kitabu kinachoeleza mawazo na kazi ya Yesu wa Nazareti ambaye tunamgundua kama nabii ashuhuri sana kuliko manabii wote wa Mungu na isitoshe, aliyekuwa Mwalimu mkuu.
Katika mabadiliko hii ya enzi, ni Kristo mwenyewe ndiye alifunua kupitia unabii wa Gabriele, nabii-mwalimu, ukweli wote uhusu
mafundisho na maisha yake duniani katika Yesu wa Nazareti. Anaeleza tena kwamba hajawahi kuunda dini wala kuwakabidhi makasisi madaraka.
Vous aimerez peut-être aussi…
-
![eBook (PDF) - MUNGU anaponya [Digital]]()

eBook (PDF) – MUNGU anaponya
Nguvu kubwa mno isiyokadiriwa na kuwaziwa inatenda kazi ndani ya kila mmoja wetu.2,99 €
comprend 5,5% TVA réduite -

Yesu wa Nazareti alikuwa nani?
Sehemu : Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu…4,00 €
comprend 5,5% TVA réduiteFrais d'expédition en sus -


PDF – Mungu ndani mwetu
„Dhamira yangu ni kutetea Mungu, sijitetei mwenyewe wala pia sitetei shirika fulani…0,00 €
-

Amri kumi za Mungu, zilizotolewa kupitia musa
Mungu, Wamilele, aliwatolea wanae wanadamu Amri Zake kutokana na upendo Wake na ambazo ni mashauri…4,00 €
comprend 5,5% TVA réduiteFrais d'expédition en sus


![eBook (PDF) - MUNGU anaponya [Digital]](https://editions-gabriele.com/app/uploads/2023/08/S309sw_Dieu-guerit_Cover-2D-300x429.jpg)



