Descriptif
Mada « Mungu ndani mwetu», hususan wakati huu wa sasa, haina maana.
Gabriele anaandika: „Dhamira yangu ni kutetea Mungu, sijitetei mwenyewe wala pia sitetei shirika fulani linalojulikana, ila natetea Mungu peke yake ambaye ningependelea ndugu na dada zangu wajifunze kumjua.
Nimempata Mungu, Uzima, ndani ya nafsi yangu, na ninajua kwamba anatupenda sote, kama Baba yetu wa milele, alituzingatia na akatuumba moyoni mwake.
Mungu yupo daima.
Yupo katika mazingira.
Mungu ni Uzima, ni nuru, iliyo ndani ya kila mnyama, kila mmea au kila jiwe, ndani ya kila mti.
Mungu Yumo ndani ya nafsi yako.
Yupo pamoja nawe na Yupo kando yako.“
PDF – Mungu ndani mwetu
ya Gabriele
0,00 €
N° de comm.: BG313sw-pdf
pdf download