Des livres spirituels pour apprendre et acquérir des valeurs éthiques universelles

S'abonner

Newsletter

Se connecter

Mon compte

Panier

Mungu ndani mwetu

ya Gabriele

0,00 

Brochure gratuite sur Dieu en swahili
disponible, délai de livraison 3 à 8 jours ouvrés **

Descriptif

Mungu ndani mwetu

Mada « Mungu ndani mwetu», hususan wakati huu wa sasa, haina maana

Gabriele anaandika: Dhamira yangu ni kutetea Mungu, sijitetei mwenyewe wala pia sitetei shirika fulani linalojulikana, ila natetea Mungu peke yake ambaye ningependelea ndugu na dada zangu wajifunze kumjua.
Nimempata Mungu, Uzima, ndani ya nafsi yangu, na ninajua kwamba anatupenda sote, kama Baba yetu wa milele, alituzingatia na akatuumba moyoni mwake.

Mungu yupo daima.
Yupo katika mazingira.
Mungu ni Uzima, ni nuru, iliyo ndani ya kila mnyama, kila mmea au kila jiwe, ndani ya kila mti.
Mungu Yumo ndani ya nafsi yako.
Yupo pamoja nawe na Yupo kando yako.

 

Brochure gratuite sur Dieu en swahili
Mungu ndani mwetu
0,00