eBook (PDF) – Jifunze kuomba
Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu. Sala halisi humfanya mtu awe mwenye raha
2,99 €
comprend 5,5% TVA réduite
![eBook (PDF) - Jifunze kuomba [Digital]](https://editions-gabriele.com/app/uploads/2022/01/SWA_Lerne-Beten_Cover-2D-300x429.jpg)
ISBN: 978-3-96446-476-7
N° de comm.: B174sw-pdf
disponible, délai de livraison Téléchargement - pas de délai de livraison **
Jifunze kuomba
Katika sala ya kweli, unapata maarifa ya Mungu.
Sala halisi humfanya mtu awe mwenye raha
Tunapata ujuzi wa Mungu katika sala ya ndani mwetu wenyewe.
Ila, sala halisi huhitaji mafunzo, kwa kuwa, sala halisi, tunayoifanya ndani mwetu wenyewe ni mazungumzo na Mungu.
Ni wakati tunapoomba kwa moyo wote, tukijifunza kuomba kwenye kituo cha nguvu ya Kristo wa Mungu na tunasikia kweli maombi yetu, ndipo tunajihisi kubebwa na nguvu iliyopo siku zote. Ikiwa tena tunatimiza maombi yetu maishani mwetu siku zote kwa kuyajaza na yale yaliyomo, ni kusema kwa kutimiza mapenzi ya Mungu, tunakaribia basi kituo
cha upendo ndani mwetu na tunashika njia ielekeayo kwa Mungu.
Vous aimerez peut-être aussi…
-
![eBook (PDF) - Roho huru Mungu ndani mwetu [Digital]]()

eBook (PDF) – Roho huru Mungu ndani mwetu
Kitabu hiki kinamwelekeza msomaji kwenye njia ya uhuru na kinamuwezesha kujitenga na imani potovu,…2,99 €
comprend 5,5% TVA réduite -
![eBook (PDF) - Yesu wa Nazareti alikuwa nani? [Digital]]()

eBook (PDF) – Yesu wa Nazareti alikuwa nani?
Sehemu: Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu…2,99 €
comprend 5,5% TVA réduite -

Kumpata Mungu!
Maandishi ya Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu kwa wakati wetu0,00 €
Frais d'expédition en sus -

Roho huru Mungu ndani mwetu
Kitabu hiki kinamwelekeza msomaji kwenye njia ya uhuru na kinamuwezesha kujitenga na imani potovu,…8,90 €
comprend 5,5% TVA réduiteFrais d'expédition en sus

![eBook (PDF) - Jifunze kuomba [Digital]](https://editions-gabriele.com/app/uploads/2022/01/SWA_Lerne-Beten_Cover-2D.jpg)
![eBook (PDF) - Roho huru Mungu ndani mwetu [Digital]](https://editions-gabriele.com/app/uploads/2023/08/S179SW_Dieu-en-nous-L-Esprit-libre_Cover-2D_600x600-300x429.jpg)

![eBook (PDF) - Yesu wa Nazareti alikuwa nani? [Digital]](https://editions-gabriele.com/app/uploads/2022/01/SWA_Wer-war-Jesus-von-Nazareth_Cover-2D-300x429.jpg)

